Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele ametembelea mafunzo kwa Watendaji wa uboreshaji wa Daftari katika Mji wa Kibaha mkoani Pwani

14 May, 2025
09:00:00 - 00:00:00
Kibaha
INEC

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele ametembelea mafunzo ya siku moja kwa Watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele ametembelea mafunzo kwa Watendaji wa uboreshaji wa Daftari katika Mji wa Kibaha mkoani Pwani