Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan akiboresha taarifa zake kwenye kituo cha Kuandikisha Wapiga Kura Wilayani Chamwino.
18 May, 2025
09:00:00 - 00:00:00
Chamwino
INEC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan ameboresha taarifa zake kwenye kituo cha Kuandikisha Wapiga Kura kilichopo kilichopo Ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Chamwino.
