Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa Elimu ya Mpiga Kura kupitia Gari la Elimu ya Mpiga Kura Machinga Complex Jijini Dodoma
10 Sep, 2024
04:00:00 - 18:00:00
Machinga Complex, Dodoma
INEC
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi leo tarehe 10 Septemba, 2024 imetoa Elimu ya Mpiga Kura kupitia Gari la Elimu ya Mpiga Kura kwenye Soko na Kituo cha Daladala cha Machinga Complex kilichopo katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma Mkoa wa Dodoma.
