Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa Elimu ya Mpiga Kura kwa wakazi wa Monduli Juu wilayani Monduli mkoani Arusha
06 Dec, 2024
14:00:00 - 16:00:00
Monduli
INEC
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa Elimu ya Mpiga Kura kwa wakazi wa Monduli Juu wilayani Monduli mkoani Arusha kuhusu uboreshaji Daftari la kudumu la Mpiga Kura. Uboreshaji wa Daftari kwa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro pamoja na baadhi ya Halmashauri za Chemba, Kondoa na Kondoa mji mkoani Dodoma unataraji kuanza Disemba 11 hadi 17 mwaka huu.
