Tume yamtangaza Bw. Khamis Yussuf Mussa wa CCM kuwa mshindi Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Kwahani
08 Jun, 2024
22:30:00 - 23:00:00
Kwahani, Zanzibar
NEC
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kupitia Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kwahani-Zanzibar Bi.Safia Iddi Muhammad imemtangaza Bw.Khamis Yussuf Mussa kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa Kiti cha Ubunge katika Jimbo la Kwahani.
