Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoa wa Pwani na halmashauri za Tanga tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025
13 Feb, 2025
08:00:00 - 08:00:00
Pwani na Tanga
INEC
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mikoa ya Pwani na Tanga katika Halmashauri za Jiji la Tanga, Miji ya Handeni, Korogwe na Wilaya za Kilindi, Lushoto na Muheza tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025
