Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Uchaguzi Mdogo wa Ubungo wa Jimbo la Chamwino na Udiwani katika Kata 11 za Tanzania Bara kufanyika tarehe 04 Novemba, 2026

04 Nov, 2026
08:00:00 - 04:00:00
Chamiwno na Kata 11 za Tanzania Bara
INEC

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubungo wa Jimbo la Chamwino na Udiwani katika Kata 11 za Tanzania Bara utakaofanyika Siku ya Jumatano tarehe 04 Novemba, 2026

Uchaguzi Mdogo wa Ubungo wa Jimbo la Chamwino na Udiwani katika Kata 11 za Tanzania Bara kufanyika tarehe 04 Novemba, 2026