Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Katika Jimbo la Peramiho na Udiwani Katika Kata ya Shiwinga iliyopo Mbozi DC
26 Feb, 2026
07:00:00 - 04:00:00
Peramiho na Shiwinga
INEC
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Katika Jimbo la Peramiho Halmashauri ya Wilaya ya Songea na Udiwani Katika Kata ya Shiwinga Halamashauri ya Wilaya ya Mbozi.

