Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Risala ya Mwenyekiti wa INEC Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele kuhusu upigaji kura katika Uchaguzi wa Ubunge na Madiwani unaofanyika tarehe 30 Desemba, 2025

Imewekwa: 30 Dec, 2025
Risala ya Mwenyekiti wa INEC Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele kuhusu upigaji kura katika Uchaguzi wa Ubunge na Madiwani  unaofanyika tarehe 30 Desemba, 2025

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele ametoa Risala kuhusu upigaji kura katika Uchaguzi wa Ubunge katika Majimbo Mawili ya Jamhuri ya Muungano na Madiwani katika Kata Tano za Tanzania Bara unaofanyika tarehe 30 Desemba, 2025. Soma Risala