Risala ya Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Siku ya Jumatano tarehe 29 Oktoba, 2025
Imewekwa: 28 Oct, 2025
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mhe Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele amesoma Risala ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Siku ya Jumatano tarehe 29 Oktoba, 2025. Soma Risala

