Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Takwimu za Wapiga Kura na Vituo vya Kupigia Kura vitakavyotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025

Imewekwa: 07 Oct, 2025
Takwimu za Wapiga Kura na Vituo vya Kupigia Kura vitakavyotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imepokea taarifa kutoka Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kuhusu mabadiliko ya takwimu za idadi ya wapiga kura na vituo vya kupigia kura vitakavyotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.

Taarifa hiyo imetolewa baada ya kukamilika rasmi kwa uchakataji wa taarifa za wapiga kura waliopo kwenye Daftari la Wapiga Kura la Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) ambapo takwimu zake ni kama ifuatavyo:-

Takwimu Kamili