Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza nafasi za kazi za muda za watendaji wa vituo vya kupigia kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025
                                
                                     Imewekwa: 28 Jun, 2025
                                
                            
                        
                            Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza nafasi za kazi za muda za watendaji wa vituo vya kupigia kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025
Kwa mujibu wa tanagzo lililotolewa na Tume leo tarehe 28 Juni, 2025 na kusainiwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima, R.K, nafasi zilizotangazwa ni Wasimamizi au Wasimamizi wa Vituo cha Kupigia Kura na Karani Mwongozaji Wapiga Kura.
Sifa za waombaji, malipo, masharti na namna ya kutuma maombi vimeelezwa kwenye Tangazo Hili.

