Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Wagombea

Mgombea ni mtu aliyeteuliwa na chama cha siasa kwa lengo la kugombea nafasi katika Uchaguzi. Katika Uchaguzi kuna aina kuu tatu za wagombea ambao ni :-

  1. Wagombea Kiti cha Rais na Makamu wa Rais
  2. Wagombea Ubunge
  3. Wagombea Udiwani