Tume yatangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Kwahani utakaofanyika Juni 8, 2024
02 May, 2024
Pakua
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Kwahani utakaofanyika tarehe 8 Juni, 2024