Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza na kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi kuanzia tarehe 27 Februari, 2025