Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Tume yakaribisha taasisi na asasi za kiraia kutazama Uchaguzi Mdogo wa Kata 23

25 Apr, 2024 Pakua

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekaribisha taasisi na asasi za kiraia kutazama Uchaguzi Mdogo wa Madiwani katika Kata 23