Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Tume yatoa ufafanuzi vigezo na masharti ya kazi za muda za watendaji wa Uboreshaji wa Daftari

25 Apr, 2024 Pakua

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa ufafanuzi kuhusu vigezo na masharti ya kazi za muda za watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura