Tume yatoa vibali kwa asasi 157 kutoa elimu ya mpiga kura na uangalizi kwa asasi 34 wakati wa uboreshaji wa Daftari Mwaka 2024/2025
25 Jun, 2024
Pakua
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa vibali kwa asasi 157 kutoa elimu ya mpiga kura na uangalizi kwa asasi 34 wakati wa uboreshaji wa Daftari Mwaka 2024/2025