Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Tume yatoa vibali kwa asasi 4 za kuangalia na kutoa Elimu ya Mpiga Kura Uchaguzi Mdogo Kwahani

11 May, 2024 Pakua

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa vibali kwa asasi 4 za kuangalia na kutoa Elimu ya Mpiga Kura katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo kla Kwahani, Zanzibar