Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Vwawa, Linah Okello amewaapisha Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia kura wa Kata ya Shiwinga iliyopo Mbozi DC, Mkoani Shongwe.
23 Feb, 2026
08:00:00 - 09:00:00
Songwe
INEC
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Vwawa, Linah Okello amewaapisha Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia kura katika Kata ya Shiwinga Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mkoani Shongwe.

