Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndg. Cyprian Mbugano ametembelea mafunzo kwa Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ismani yaliyofanyika Ifunda, Mkoani Iringa
30 May, 2026
11:00:00 - 12:00:00
Iringa
INEC
Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndg. Cyprian Mbugano ametembelea mafunzo kwa Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ismani yaliyofanyika Ifunda, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

