Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk, amefunga mafunzo ya watendaji wa uchaguzi yaliyofanyika Mkoani Morogoro
30 Apr, 2026
12:00:00 - 01:00:00
Morogoro
INEC
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk, amefunga mafunzo ya watendaji wa uchaguzi yaliyofanyika kwa siku tatu Mkoani Morogoro

