Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Mhe. Jaji Aziza Iddi Suwedi amekagua mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura wa Jimbo la Chamwino

01 Nov, 2026
10:00:00 - 11:00:00
Chamwino
INEC

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Mhe. Jaji Aziza Iddi Suwedi amekagua mafunzo wa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura wa Jimbo la Chamwino Mkoa wa Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Mhe. Jaji Aziza Iddi Suwedi amekagua mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura wa Jimbo la Chamwino