Mjumbe wa INEC, Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe. Asina Omari akisikiliza maelezo ya Msimamizi Masaidizi wa Uchaguzi Kata ya Shiwinga kuhusu maandalizi ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani wa kata hiyo.
21 Feb, 2026
10:00:00 - 11:00:00
Songwe
INEC
Mjumbe wa INEC, Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe. Asina Omari akisikiliza maelezo ya Msimamizi Masaidizi wa Uchaguzi Kata ya Shiwinga kuhusu maandalizi ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani wa kata hiyo, iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Mkoani Songwe

