Mjumbe wa INEC, Jaji wa Mahakama Kuu Mhe. Asina Omari ametembelea mafunzo ya Makarani Waongozaji Wapiga Kura katika Kata ya Shiwinga, iliyopo Mbozi DC, Mkoani Songwe.
22 Feb, 2026
12:00:00 - 01:00:00
Songwe
INEC
Mjumbe wa INEC, Jaji wa Mahakama Kuu Mhe. Asina Omari ametembelea mafunzo ya Makarani Waongozaji Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Shiwinga, iliyopo Mbozi DC, Mkoani Songwe.

