Mjumbe wa INEC, Mhe. Magdalena Rwebangira, amekukagua mafunzo ya Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura katika Kata ya Mzimuni, Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.
30 May, 2026
11:00:00 - 12:00:00
Dar es Salaam
INEC
Mjumbe wa INEC, Mhe. Magdalena Rwebangira, ametembelea na kukagua mafunzo ya Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura wa Kata ya Mzimuni, Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mkoani Dar es Salaam.

