Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Mahakama Kuu Mhe. Asina Omari akitoa nasaha kwa waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya bayometriki katika Mji wa Kondoa mkoani Dodoma.
08 Dec, 2024
11:00:00 - 14:00:00
Dodoma
INEC