Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Mkurugenzi wa Ofisi ya Zanzibar (INEC) Ndg. Adam Mkina ameongoza kikao cha vyama vya siasa kufanya mabadiliko ya ratiba ya kampeni za wagombea wa Kiti cha Rais, Jijini Dar es Salaam

15 Sep, 2025
02:00:00 - 04:00:00
Dar es Salaam
INEC

Mkurugenzi wa Ofisi ya Zanzibar (INEC) Ndg. Adam Mkina ameongoza kikao cha wawakilishi wa vyama vya siasa kufanya mabadiliko ya ratiba ya kampeni za wagombea wa Kiti cha Rais, Jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi wa Ofisi ya Zanzibar (INEC) Ndg. Adam Mkina ameongoza kikao cha vyama vya siasa kufanya mabadiliko ya ratiba ya kampeni za wagombea wa Kiti cha Rais, Jijini Dar es Salaam