Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Nurdin Babu ameboresha taarifa zake kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura leo tarehe 11 Desemba, 2024.
11 Dec, 2024
09:00:00 - 09:00:00
Kilimanjaro
INEC