Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Jimbo la Ismani Ndugu. Mathew Sanga amefungua mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura wa Jimbo la Ismani, Mkoa wa Iringa
29 May, 2026
10:00:00 - 11:00:00
Iringa
INEC
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Jimbo la Ismani Ndugu. Mathew Sanga amefungua mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura wa Jimbo la Ismani, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Mkoa wa Iringa

