Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ismani, Ndugu. Caroline Ang’wen Otieno, amemteua Ndugu. Emmanuela Kaganda Mtatifikolo kupitia Chama cha CCM kuwa mgombea katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge
10 May, 2026
07:30:00 - 04:00:00
Iringa
INEC
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ismani, Ndugu. Caroline Ang’wen Otieno, amemteua Ndugu. Emmanuela Kaganda Mtatifikolo kupitia Chama cha CCM kuwa mgombea ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge wa jimbo hilo.

