Mwenyekiti wa INEC Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele ametembelea vituo vya kupigia kura kuangalia mwenendo wa Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Ismani
01 Jun, 2026
10:00:00 - 11:00:00
Iringa
INEC
Mwenyekiti wa INEC Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele ametembelea kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kijiji Igingilanyi kuangalia mwenendo wa Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Ismani, uliofanyika leo tarehe 1 Juni, 2026

