Mwenyekiti wa INEC, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele amekagua na kugawa vifaa vya uchaguzi kwa Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Ismani
31 May, 2026
09:00:00 - 10:00:00
Iringa
INEC
Mwenyekiti wa INEC, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele amekagua na kushiriki zoezi la kugawa vifaa vya kupigia kura kwa Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Ismani

