Mwenyekiti wa INEC, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele amesoma risala ya uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Peramiho na Kata ya Shiwinga utakaofanyika Februari 26, 2026.
25 Feb, 2026
10:00:00 - 11:00:00
Ruvuma
INEC
Mwenyekiti wa INEC, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele akisoma risala maalum kuhusu uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Peramiho na Kata ya Shiwinga uliopangwa kufanyika Februari 26, 2026.

