Mwenyekiti wa INEC, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele ametembelea na kushuhudia zoezi la upigaji kura katika Jimbo la Fuoni lililopo Mkoa wa Mjini Magharibi, Tanzania Zanzibar
30 Dec, 2025
09:00:00 - 10:00:00
Fuoni
INEC
Mwenyekiti wa TINEC, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele ametembelea na kushuhudia zoezi la upigaji kura katika Jimbo la Fuoni lililopo Wilaya ya Magharibi B, Mkoa wa Mjini Magharibi, Tanzania Zanzibar

