Mwenyekiti wa INEC, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs C. M. Mwambegele ametembelea na kukagua kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kijiji Igingilanyi iliyopo Jimbo la Ismani Mkoa wa Iringa
31 May, 2026
12:00:00 - 13:00:00
Iringa
INEC
Mwenyekiti wa INEC, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs C. M. Mwambegele ametembelea na kukagua vituo vya kupigia kura vya Godown la Kijiji cha Kihorogota na Ofisi ya Kijiji Igingilanyi vilivyopo Kata ya Kihorogota, Jimbo la Ismani Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

