Mwenyekiti wa INEC, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele ametembelea mafunzo ya Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Peramiho, Songea DC, Mkoani Ruvuma
23 Feb, 2026
12:00:00 - 01:00:00
Ruvuma
INEC