Mwenyekiti wa INEC, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele amekutana na Mjumbe Maalum wa Jumuiya ya Madola, Rais Mstaafu wa Malawi Mhe.Lazarus Chakwera, ofisi za Tume Njedengwa, Dodoma.
14 Apr, 2026
03:00:00 - 04:00:00
Dodoma
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth) Rais wa zamani wa Malawi Mhe.Lazarus Chakwera ambaye kwenye ofisi za Tume Njedengwa jijini Dodoma.

