Mwenyekiti wa INEC Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele amemkabidhi Dkt. Samia Suluhu Hassan Hati ya kuchaguliwa kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
01 Nov, 2025
01:00:00 - 01:30:00
Dodoma
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele amemkabidhi Dkt. Samia Suluhu Hassan Hati ya kuchaguliwa kwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

