Mwenyekiti wa INEC Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele ametembelea mafunzo ya Makarani Waongozaji Wapiga Kura katika Jimbo la Ismani, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Mkoani Iringa
28 May, 2026
12:00:00 - 13:00:00
Iringa
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele leo tarehe 28 Mei, 2026 ametembelea mafunzo ya siku moja ya Makarani Waongozaji Wapiga Kura katika Jimbo la Ismani lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Mkoani Iringa yanayofanyika katika Shule ya Sekondari ya Ufundi Ifunda ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya uchaguzi Mdogo wa Ubunge wa jimbo hilo unaotarajiwa kufanyika tarehe 01 Juni, 2026.

