Mwenyekiti wa INEC, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele ametembelea na kushuhudia upigaji kura katika Jimbo la Peramiho lililopo Songea DC, mkoani Ruvuma.
26 Feb, 2026
08:00:00 - 09:00:00
Ruvuma
INEC