Mwenyekiti wa INEC Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele amewateua Mhe. Luhaga Mpina na Mhe. Fatma Ferej kuwa wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais kupitia ACT Wazalendo.
13 Sep, 2025
11:00:00 - 11:30:00
Dar Es Salaam
INEC
Mwenyekiti wa INEC Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegeleamewateua Mhe. Luhaga Joelson Mpina na Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej kuwa wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais
kupitia ACT Wazalendo.
