Mwenyekiti wa INEC Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele amewateua Mhe. Majalio Paul Kyara na Mhe. Satia Mussa Bebwa kuwa wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais kupitia SAU.
29 Aug, 2025
04:06:00 - 04:07:00
Dodoma
INEC