Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi amefungua mkutano wa Tume na wadau wa uchaguzi ikiwa ni maandalizi ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
10 Jun, 2024
07:00:00 - 14:00:00
Mlimani City , Dar Es Salaam
NEC
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele akifungua mkutano wa Tume na wadau wa uchaguzi ikiwa ni maandalizi ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
