Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na wenye Ulemavu), Dkt. James Henry Kilabuko amefungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi la INEC kilichofanyika Mkoani Morogoro.

11 Apr, 2026
10:00:00 - 12:00:00
Morogoro
INEC

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na wenye Ulemavu), Dkt. James Henry Kilabuko amefungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi la INEC Mkoani Morogoro, kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na wenye Ulemavu), Dkt. James Henry Kilabuko amefungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi la INEC kilichofanyika Mkoani Morogoro.