Tume yatangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Kwahani utakaofanyika Juni 8, 2024
08 Jun, 2024
07:00:00 - 16:00:00
Kwahani, Zanzibar
INEC
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Kwahani utakaofanyika Siku ya Jumamosi tarehe 8 Juni, 2024.
