Watumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) washiriki MEI MOSI, 2024 mkoani Arusha.
01 May, 2024
01:10:00 - 16:00:00
Sheikh Amri Abeid, Arusha
INEC
Baadhi ya Watumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) wakiwa kwenye maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) yaliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Sheikh Amri Ameid mkoani Arusha.
