Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amezindua Uboreshaji wa Dafatri la Kudumu la Wapiga Kura Kwenye Uwanja wa Kawawa Mkoani Kigoma.
20 Jul, 2024
09:00:00 - 14:00:00
Ujiji, Kigoma
INEC
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) leo tarehe 20 Julai, 2024 amezindua Uboreshaji wa Dafatri la Kudumu la Wapiga Kura Kwenye Uwanja wa Kawawa Mkoani Kigoma.
