Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

INEC yatangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Isimani na Udiwani katika Kata 12 za Tanzania Bara utakaofanyika tarehe 1 Juni, 2026

Imewekwa: 20 Apr, 2026
INEC yatangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Isimani na Udiwani katika Kata 12 za Tanzania Bara utakaofanyika tarehe 1 Juni, 2026

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC ) imetangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Isimani, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Mkoa wa Iringa na Udiwani katika Kata 12 za Tanzania Bara utakaofanyika Siku ya Jumatatu ya tarehe 1 Juni, 2026. Soma Taarifa Kamili