Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Tume yatangaza mwaliko kwa taasisi na asasi za kiraia kutoa elimu ya mpiga kura Uchaguzi Mdogo Chamwino na Udiwani Kata 11

Imewekwa: 25 Sep, 2026
Tume yatangaza mwaliko kwa taasisi na asasi za kiraia kutoa elimu ya mpiga kura Uchaguzi Mdogo Chamwino na Udiwani Kata 11

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Mwaliko kwa Taasisi na Asasi za Kiraia kutoa Elimu ya Mpiga Kura Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chamwino na Udiwani katika Kata 11 za Tanzania Bara. Soma Zaidi